Home » News & Politics » Harusi za kabila la Wahadzabe

Harusi za kabila la Wahadzabe

Written By DW Kiswahili on Friday, Jan 25, 2019 | 09:12 AM

 
Tunaiangazia harusi ya kabila dogo la wahadzabe nchini Tanzania. Katika kabila hili licha ya wanaume kuolewa hutakiwa kutoa mahari na mahari hiyo haiishi mpaka wazazi wa mwanamke watakapofariki. Je unajua Mahari hiyo ni ipi? Tazama vidio hii. Kurunzi 25.01.2019