Home » News & Politics » MASTAA HAWA WA INJILI NDOA ZIMEWASHINDA!

MASTAA HAWA WA INJILI NDOA ZIMEWASHINDA!

Written By Global TV Online on Thursday, Dec 06, 2018 | 11:17 AM

 
MASTAA HAWA WA INJILI NDOA ZIMEWASHINDA!\ Kweli ndoa ndoano! ndiyo maneno unayoweza kutamka kwani licha ya kwamba ni watumishi wa Mungu kupitia uimbaji wa muziki wa injili, Mastaa kibao wa tasnia hiyo wamejikuta wakinyoosha mikono na kuachana na ndoa zao. Katika muziki wa injili wapo waimbaji ambao ndoa zao zimevunjika na wamekuwa wakifanya siri japokuwa baadaye baadhi habari zao husambaa na kujulikana kwa wengi. #MASTAAWAINJILI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...