Home » News & Politics » Mama Yangu wee! LEMA Akinukisha tena Vibaya Muda huu, Kisa kauli ya Rais Magufuli na RC Makonda

Mama Yangu wee! LEMA Akinukisha tena Vibaya Muda huu, Kisa kauli ya Rais Magufuli na RC Makonda

Written By Gilly Bonny Tv on Friday, Dec 21, 2018 | 12:00 AM

 
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametuma ujumbe Mwingine kwa Rais John Magufuli na Mkuu wa mkoa wa Dar- es Salaam Paul Makonda kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter. CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.