Home » People & Blogs » Kwanini Jua Huzama Na Kuchomoza

Kwanini Jua Huzama Na Kuchomoza

Written By Mezani on Saturday, Dec 22, 2018 | 07:35 AM

 
Kwanini Jua Huzama Na Kuchomoza ni video inayoelezea sababu za kisayansi kuhusu mzunguko wa dunia katika Mhimili wake na hivyo kuleta mawio na machweo. Mawio na Machweo ni tukio linaloonekana kila siku na hufurahiwa na wengi. Hii sasa ni sababu ya kisayansi kwa nini hali hii hutokea.