Home » Entertainment » "AFANDE SELE Kaniita SHOGA / Nampa Masaa 19, La Sivyo" - CHID BENZ

"AFANDE SELE Kaniita SHOGA / Nampa Masaa 19, La Sivyo" - CHID BENZ

Written By Global TV Online on Wednesday, Dec 05, 2018 | 02:56 AM

 
"AFANDE SELE Kaniita SHOGA / Nampa Masaa 19, La Sivyo" - CHID BENZ KUFUATIA kauli iliyotolewa na Msanii Mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele, ya kusema kuwa Wasanii wote wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (Mateja) ni Mashoga. Kauli hiyo ikapenya moja kwa moja mpaka kwenye uvungu wa Moyo na kumgusa Mkongwe mwenziye, Chid Benz, ambaye ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya, na amesema anampa Afande masaa 19 ya kujitokeza hadharani na aombe radhi la sivyo! Afande Sele alitoa kauli hiyo stejini usiku wa Disemba 02, kwenye tamasha la Wasafi Festival Morogoro, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Stadium. #CHIDBENZ #AFANDESELE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: ] www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...