Home » Sports » Steve ‘kulialia’ alivyokosea masharti , Yanga ikafungwa 5-0 na Simba; (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA)

Steve ‘kulialia’ alivyokosea masharti , Yanga ikafungwa 5-0 na Simba; (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA)

Written By Azam TV on Thursday, Nov 29, 2018 | 01:38 PM

 
Ni Steven Samwel Mwakipesile, yule shabiki mkubwa wa soka, ambaye alipata ‘maisha’ baada ya kuililia Yanga ilipofungwa mabao matano na Simba kwenye Dimba la Taifa Dar es salaam