Home » News & Politics » BREAKING: Baraza la Maulid ya Kitaifa, Tanga Gumzo!

BREAKING: Baraza la Maulid ya Kitaifa, Tanga Gumzo!

Written By Global TV Online on Tuesday, Nov 20, 2018 | 06:01 AM

 
BREAKING: Baraza la Maulid ya Kitaifa, Tanga Gumzo! Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jafo, amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 20, 2018, katika hafla ya Maulid ya Kitaifa iliyoandaliwa na Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA). Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. #MAULIDYAKITAIFA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...