Home » News & Politics » RUSHWA YA NGONO: Mhadhiri UDOM alivyonaswa mtegoni na Mwanafunzi

RUSHWA YA NGONO: Mhadhiri UDOM alivyonaswa mtegoni na Mwanafunzi

Written By Millard Ayo on Thursday, Oct 04, 2018 | 11:48 AM

 
TAKUKURU Mkoa wa Dodoma jana usiku iliweka mtego na kufanikiwa kumkamata Jacob Paul Nyangusi ambaye ni Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kosa la kumtaka mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kingono ili amsaidie katika mitihani ya marudio aliyofanya hivi karibuni.