Home » Howto & Style » HABARI - AZAM TV 15/10/2018

HABARI - AZAM TV 15/10/2018

Written By Azam TV on Monday, Oct 15, 2018 | 04:56 PM

 
CHADEMA yafunguka kuhusu fukuto la mgogoro wa ruzuku ndani ya chama. NEC yatangaza siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Simanjiro na Serengeti. Familia ya Mo yatangaza zawadi nono kwa atakayesaidia kupatikana kwake.