Home » News & Politics » BREAKING: Mbunge Wa Babati Ajiuzulu Atuma Ombi Zito Kwa Spika

BREAKING: Mbunge Wa Babati Ajiuzulu Atuma Ombi Zito Kwa Spika

Written By Global TV Online on Saturday, Oct 13, 2018 | 05:54 PM

 
#MBUNGEGEKUL #SPIKANDUGAI BREAKING: Mbunge Wa Babati Ajiuzulu Atuma Ombi Zito Kwa Spika Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM). _ Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema .!SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho