Home » Entertainment » TAARIFA ZA UTHIBITISHO KUHUSU KIFO CHA BABA MZAZI WA PROFFESOR JAY

TAARIFA ZA UTHIBITISHO KUHUSU KIFO CHA BABA MZAZI WA PROFFESOR JAY

Written By Wasafi Media on Friday, Sep 07, 2018 | 08:58 AM

 
Adrian Leornad Haule ambae ni Kaka Mkubwa wa Msanii wa Muziki wa Hip Hop Hapa Nchini na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule Maarufu zaidi kama @professorjaytz na Msanii wa Muziki wa Rap @blackchatta Akithibitisha Taarifa za Kifo cha Baba yao Mzazi Leornad Steven Haule Aliyefariki Leo Majira ya Saa 4 Asubuhi Uongozi wa WASAFI TV na Wafanyakazi wake Unapenda Kutoa pole za Dhati kwa Familia na Yoyote Aliyeguswa na Msiba Huu. Bwana Ametoa Bwana Ametwaa, Jina lake Lihimidiwe . Endelea Kukaa Karibu na Kurasa Zetu za Mitandao ya Kijamii na Usisahau Kutupia Jicho WASAFI TV Kwa Updates Zaidi Kuhusu Tukio Hili #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #ChomboKwahewa