Home » News & Politics » Wawili wauawa na waume zao Tabora, dereva treni apitiliza kituo kwa ulevi

Wawili wauawa na waume zao Tabora, dereva treni apitiliza kituo kwa ulevi

Written By Azam TV on Friday, Aug 24, 2018 | 04:49 PM

 
Jeshi la polisi mkoani Tabora limethibitisha kuuawa kwa wanawake wawili kwa kile kinachodaiwa kuwa wivu wa mapenzi sanjari na hilo jeshi hilo pia limemkamata dereva wa treni aliyekuwa akiendesha chombo hicho huku akiwa amelewa. Juma Kapipi anaeleza undani wa habari hizo