Home » People & Blogs » Mashabiki wafurika dukani kwa Esma kumshangaa Diamond, Bi. Sandra na Dylan wa Hamisa Mobetto

Mashabiki wafurika dukani kwa Esma kumshangaa Diamond, Bi. Sandra na Dylan wa Hamisa Mobetto

Written By Simulizi Na Sauti on Sunday, Aug 26, 2018 | 02:10 PM

 
Jumapili hii Diamond Platnumz amespend time na mwanae, Dylan. Baba na mwanae wamecheza pamoja na kisha kuelekea kwenye duka la Esma ambako mama yake Diamond, Bi. Sandra alikuwepo pia na yeye kupata wasanii wa 'kubond' na mjukuu wake huyo aliyepewa na Hamisa Mobetto. Mashabiki nao hawakuachwa nyuma, walilivamia duka la Esma kupata nafasi ya kuiona familia ya Diamond..basi ikawa ni shangwe na vifijo kwa furaha waliyokuwa nayo