Home » Entertainment » #KUNGWI : Tabia ya Kuchaguliana Mume au Mke wa Kuoa ni USHAMBA

#KUNGWI : Tabia ya Kuchaguliana Mume au Mke wa Kuoa ni USHAMBA

Written By Wasafi Media on Wednesday, Jul 11, 2018 | 05:59 AM

 
#KUNGWI Anakwambia usichokila Usikitie Hila, Maana Kibaya Kwako, Kizuri Kwa Mwenzako. Mahaba ni Sheria Kati ya Mume na Mke, Wengi Katika Dunia Kila Mtu ana Wake. Unaambiwa Kwamba Wawili wakipendana Adui hana nafasi, Tena Mtaumwa Sana Nyie Wabaya wa Nafsi Baadhi ya Wazazi wenye Tabia ya Kuwachagulia Watoto wao Mke/Mume ni Mambo ya Kizamani Sana Katika Karne Hii.