Home » News & Politics » HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI 2018/2019

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI 2018/2019

Written By Hamza Temba on Tuesday, May 22, 2018 | 01:26 AM

 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla amewasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019.