Home » Sports » Haji Manara: Niliwarushia mawe mashabiki wa Yanga nikiwa na miaka 7 (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA)

Haji Manara: Niliwarushia mawe mashabiki wa Yanga nikiwa na miaka 7 (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA)

Written By Azam TV on Thursday, May 24, 2018 | 06:56 PM

 
Msemaji wa klabu ya Simba ambao wamechukua ubingwa wa VPL kwa msimu wa 2017/18 ameketi kwenye nyundo ya Baruan Muhuza na kueleza namna gani yeye amekuwa shabiki damu wa Simba ilhali Baba yake mzazi Sunday pamoja na baba yake mkubwa Kitwana na baba mdogo Kassim kuzichezea Yanga na Pan Africa (ambayo ilianzishwa na wanachama wa Yanga waliojiengua).