Home » News & Politics » HABARI AZAM TV 16 /5 /2018

HABARI AZAM TV 16 /5 /2018

Written By Azam TV on Wednesday, May 16, 2018 | 05:17 PM

 
Mafuta yaliyozuiliwa bandarini yaanza kutolewa kama alivyoagiza Rais John Magufuli jana, Bajeti ya Wizara ya kilimo yapita kwa 'mbinde'. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Charles Hilary na Rose Mrutu mpaka mwisho.