Home » Entertainment » ENEWZ - Moni agongwa na gari kisa mapenzi?

ENEWZ - Moni agongwa na gari kisa mapenzi?

Written By EastAfricaTV on Thursday, May 17, 2018 | 11:45 AM

 
Msanii wa Bongo Fleva kutoka Dodoma Moni wa Majengo ametembelewa nyumbani kwake na Enewz anapoishi na mpenzi wake Nai kumjulia hali yake baada ya kuvunjika mguu. Habari zilizotufikia nikuwa moja ya sababu ya kugongwa na Gari ni ugomvi wa kumgombania Baby Nai kituambacho amekanusha kupitia Enewz