Home » News & Politics » BILIONI NNE KUTUMIKA KUWAJENGEA NYUMBA ASKARI MKOANI GEITA

BILIONI NNE KUTUMIKA KUWAJENGEA NYUMBA ASKARI MKOANI GEITA

Written By Mwananchi Digital on Tuesday, May 29, 2018 | 06:24 AM

 
Askari Polisi wapatao 200 wataondokana na kero za kupanga katika mkoa wa Geita baada ya wafanyabiashara mkoani huo kujitolea kuwajengea nyumba za kisasa 100 zitazogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni nne.