Home » People & Blogs » RIPOTI KAMILI: Mbowe atoa kauli nzito

RIPOTI KAMILI: Mbowe atoa kauli nzito

Written By Mwanzo TV Plus on Tuesday, Apr 03, 2018 | 10:32 AM

 
Baada ya kupatiwa dhamana viongozi Saba wa CHADEMA, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe atoa kauli nzito asema zamani nchi hii ilikua na udikteta uchwara lakini hivi sasa nchi inaudikteta kamili. #KwanzaHabari