Home » Autos & Vehicles » HOT:Familia ya MANGE KIMAMBI wajisalimisha kwa MAKONDA

HOT:Familia ya MANGE KIMAMBI wajisalimisha kwa MAKONDA

Written By ZeShoot on Saturday, Apr 14, 2018 | 05:16 PM

 
Ndugu yake na Mange Kimambi ajulikanae kwa jina la ANIL KIMAMBI amemtembelea Mh.mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kupiga picha za pamoja na kisha kupostiwa na rafiki wa zamani wa Mange ambaye ni maarufu ajulikanaye kwa jina la wema sepetu kupitia Instagram.