Home » People & Blogs » CENTANO - STORY (official audio)

CENTANO - STORY (official audio)

Written By centano Official on Thursday, Apr 12, 2018 | 04:31 PM

 
Please watch: "CENTANO - STORY (Official Video)" https://www.youtube.com/watch?v=lzY7SatJgDY --~-- From the mult talented artist centano here is another debut release STORY STORY ni wimbo wa mapenzi unaozungumzia mwanaume anayeamua kufunguka na kuweka wazi kila kitu kuhusu maisha yake kwa binti anayempenda Ni vigumu kupata mwanamke mzuri na mwenye mapenzi na wewe katika hali zote japo kuna usemi mmoja wa kiswahili usemao MWANAMKE AKIPENDA,KAPENDA KWELI. ACHA COMMENT NA LIKE YAKO NI MUHIMU SANA. Usisahau kusubscribe Video will be released on monday 16 april2018