Home » Entertainment » ANGALIA 'LAU NAFASI' IKIPIGWA LIVE NA BENPOL NA KUHUSU MAPENZI KWENYE NYIMBO ZA SIKU HIZI.

ANGALIA 'LAU NAFASI' IKIPIGWA LIVE NA BENPOL NA KUHUSU MAPENZI KWENYE NYIMBO ZA SIKU HIZI.

Written By WAZO TV on Sunday, Apr 15, 2018 | 06:11 AM

 
Benpol amerudia wimbo wa VIJANA JAZZ BAND unaitwa Lau nafasi na ameufanya katika maadhi ya sasa.Kwenye mjadala wetu tunaangalia tofauti ya mapenzi yaliyoimbwa zamani na sasa...wewe una maoni gani?