Home » News & Politics » Alichokisema Rose Ndauka Kuhusu Baba Mtoto Wake

Alichokisema Rose Ndauka Kuhusu Baba Mtoto Wake

Written By Global TV Online on Tuesday, Apr 03, 2018 | 05:26 AM

 
Alichokisema Rose Ndauka Kuhusu Baba Mtoto Wake Zile tuzo zilizokuwa zikiwaniwa kwa muda mrefu za 'Sinema Zetu International Film Festival' zilizoandaliwa na kituo cha Azam Tv, hatimaye zimefikia tamati na wasanii mbalimbali wa filamu wamejitokeza katika ukumbi wa Mlimani City, kwa ajili ya kushuhudia nani ataibuka kidedea na kujinyakulia tuzo katika vipengele tofauti tofauti. Miongoni mwa mastaa waliofika katika usiku wa tuzo hizo ni Rose Ndauka, ambaye alizungumza na Global TV kuhusiana na baba mtoto wake kama bado wana uhusiano wa kimapenzi, ambapo amebainisha kuwa walishatengana lakini kwakuwa wana mtoto wamebaki kuwa marafiki tu. TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..