Home » Entertainment » Q Boy Msafi kuhusu kubadilika baada ya WCB, kazi na Young Dee,

Q Boy Msafi kuhusu kubadilika baada ya WCB, kazi na Young Dee,

Written By Bongo5 on Tuesday, Mar 27, 2018 | 05:15 AM

 
Msanii wa muziki Bongo na Mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi amefunguka kuhusu ukaribu wake na Young Dee kwa sasa pamoja na kubadili mfumo wake wa kazi tangu alipoondoka WCB.