Home » News & Politics » Malalamiko ya unyanyasaji ya watanzania wanaofanya kazi Oman 'yanashughulikiwa’

Malalamiko ya unyanyasaji ya watanzania wanaofanya kazi Oman 'yanashughulikiwa’

Written By Azam TV on Wednesday, Mar 28, 2018 | 02:57 PM

 
Balozi wa Tanzania nchini Oman, Abdallah Kilima amethibitisha video iliyosambaa mtandaoni ikiwaonyesha watanzania wakiwa ubalozini kwake ‘ni ya kweli’ lakini hata hivyo kinachodaiwa kuwa watanzania hao walikuwa wakitaka kurudishwa nchini si za kweli bali walikuwa wamehudhuria mkutano ulioitishwa na ubalozi huo.