Home » News & Politics » MAALIM SEIF: "Lipumba Ana Akili za Samaki, Kuhusu Lowassa.."

MAALIM SEIF: "Lipumba Ana Akili za Samaki, Kuhusu Lowassa.."

Written By Global TV Online on Saturday, Mar 24, 2018 | 12:08 PM

 
MAALIM SEIF: "Lipumba Ana Akili za Samaki, Kuhusu Lowassa.." KATIBU Mkuu wa Chama Cha wanachi (CUF) , Maalif Seif Sharif Hamad amemtolea uvivi Mwenyekiti wa Chama hicho anayeungwa mkono na Msajili wa Vyama vya siaa, Prof. Ibrahimu Lipumba akimtaka kuacha kukivuruga chama hicho kwani muda walionao kwa sasa ni kukijenga chama hicho. Maalim ameyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na wanachama wa chama hicho uliofanyika katika Hoteli ya Korini iliyopo Tandale jijini Dar es Salaam ambapo amewataka wanachama wake kuwa wamoja na kutoyumbishwa na upande wa Lipumba. Amesema kuwa Lipumba ni mtu asiyekuwa mkweli, kwani yeye ndiye aliyempokea Edward Lowassa katika UKAWA lakini siku chache baadae akageuka na kudai kuwa hakubaliani na maamuzi ya kumkaribisha katika umoja huo. Mkutano baina ya Katibu mkuu wa chama hicho na wanachama hao ulikuwa na lengo la kujenga mshikamano na umoja ndani ya chama hicho. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..