Home » News & Politics » Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

Written By Millard Ayo on Saturday, Mar 17, 2018 | 02:41 AM

 
Petro Magokwa ni mzee wa miaka 73, ambaye ndio Baba mzazi wa mtoto Anthony Petro kijana aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akizungumza kumshtaki mzee wake kituo cha Polisi baada ya kusikia anapanga kuuza shamba la nyumbani kwako.