Home » News & Politics » Waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’i azuru eneo tete la Kerio Valley

Waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’i azuru eneo tete la Kerio Valley

Written By KTN Entertainment on Monday, Feb 19, 2018 | 12:00 PM

 
Waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’i amezuru eneo tete la Kerio Valley ambako kumeendelea kushuhudiwa uvamizi wa mifugo. Wakati wa ziara hiyo, waziri Matiang'i amezitaka shule zote zilizofungwa kufunguliwa huku akiviagiza vitengo vya usalama kutoa ulinzi kwa shule zote. Matiangi ameteua kikosi maalum cha maafisa wa kukabiliana na wahalifu na kuwaamrisha wakuu wa usalama kuwa macho. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.