Home » People & Blogs » WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAPACHA WALIOUNGANA

WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAPACHA WALIOUNGANA

Written By TIMETZ Tv on Sunday, Feb 11, 2018 | 12:24 AM

 
WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAPACHA WALIOUNGANA amewajulia hali mabinti pacha walioungana Consolata na Maria Mwakikuti ambao nao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwapa pole wagonjwa hao na kuwaeleza kwamba Serikali inadhamira ya dhati kuhakikisha inaboresha huduma za afya na kwamba madaktari wataendelea kuwahudumia vizuri ili kuhakikishia afya zao zinaimarika na kurejea katika shughuli zao za kila siku