Home » People & Blogs » MADIWANI CHADEMA TUNDUMA WAHAMIA CCM

MADIWANI CHADEMA TUNDUMA WAHAMIA CCM

Written By mercy mkami76 on Tuesday, Feb 06, 2018 | 10:52 AM

 
MADIWANI NA MERCY SEKABOGO FEB 06.208 SONGWE TV/PRESS MADIWANI WAMEENDELEA KUTIMKIA CCM MADIWANI Watatu wa Kata ya Kaloleni,Mwaka kati na Kata ya Chapwa katika Halmashauri ya Mji Tunduma Wilaya ya Momba mkoani Songwe kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Sogea , kwa madai kuwa wanaunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Joseph Pombe Magufuli. Zaidi na Mercy sekabogo kutoka Mkoan Songwe anaripoti U/S Ni Kiapo kilichoongozwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Momba Gelvas Ndaki, kwa Madiwani hao ambao ni Simon Mbukwa Kata ya Kaloleni,Ayoub Mlimba Kata ya Mwaka Kati na Amos Msiyani wa Kata ya Mpemba . Viongozi wa Ccm Katika Mkutano huo wamesema wanawapokea kwa Mikono miwili na kwamba ni kati ya Madiwani 9 ambao wanatarajia kujiunga na Chama hicho. VOX2 1.Gelvas Ndaki-katibu CCM MOMBA 2.Twaha Mauld Masoud -MKT ccm WILAYA Baada ya kiapo Mkuu wa Wilaya ya Momba Jumma Said Irando akatoa Neno kutokana na Maamuzi hayo. SB.Jumma Irando Nini kauri ya Madiwani hao ambao wameamua kwauujasiri bila kujali umati wa watu na hali ya Kisiasa Mjini Tunduma . Vox3 1.Amos Msyani-Kata ya Mpemba 2.Ayoub Mlimba Kata ya Mwakakati 3.Simon Mbukwa –Kata ya Kaloni Haya ni Maoni Wananchi ambao wamehudhuria Mkutano huo. Tusajigwe Motela Baraka Kabwanje-Mwananchi Rehema Kalinga-Mwananchi Agost 19 Mwaka 2017 Madiwani 14 Kati ya 15 wa halmashauri hiyo walitangaza kuondoa ushirikiano na Mkuu wa Wilaya hiyo kupitia Mikutano mbalimbali ya Hadhara kwa madai kuwa Mkuu Wilaya anaongoza Serikali Kibabe MWISHO