Home » Entertainment » ENEWZ - Nay wa Mitego ni bingwa wa kukata Mauno

ENEWZ - Nay wa Mitego ni bingwa wa kukata Mauno

Written By EastAfricaTV on Thursday, Feb 22, 2018 | 03:40 AM

 
Kitendo cha Ney Wa Mitego kuonekana kukata mauno ambayo mara nyingi twamuona Bob Junior akiyakata ni njia ya kumuonyesha kuwa U-True Boy umemshinda sasa na kuamua kuvunja miuno. Nay ameonekana akikata viuno hivyo kwenye wimbo wake mpya Mikono Juu, kweli kipindi cha Mjomba Magu hakuna ushubwada mpaka Ney anakata viuno basi mambo ni magumu sana...