Home » People & Blogs » DABANA KATIKA SIRI ZA FAMILI SEASON 6.

DABANA KATIKA SIRI ZA FAMILI SEASON 6.

Written By SAMWEL SEIF TV on Monday, Feb 05, 2018 | 04:15 AM

 
Ni msimu wa sita ambao muigizaji DABANA amehusika kama LEVY WASHINGTON katika Tamthilia ya Siri za Familia inayoruka EATV kila siku y a J3 Mpaka Alhamisi Kuanzia saa 12:30 Jioni na Marudio ni Saa 4;15 Asubuhi na Marudio ya week nzima ni Siku ya Jumapili kuanzia saa 6:00 Mchana nakuendelea... Ni Muigizaji aliyeshiriki Filamu na Tamthilia nyingi Sana zikiwepo za ITV, Michakato na Siri za familia N.K By African Actor- D A B A N A Instagram- dabanaofficial For More Informations Follow Instagram-@Dabanaofficial Whatsapp Call. + 255719952896