Home » Entertainment » BAADA YA KUZINGUANA BONGE LA NYAU WAKUTANA USO KWA USO FRIDA AMANI

BAADA YA KUZINGUANA BONGE LA NYAU WAKUTANA USO KWA USO FRIDA AMANI

Written By WAZO TV on Monday, Feb 19, 2018 | 09:36 AM

 
Frida amani mtangazaji wa planetbongo alitoa maoni yake kuhusu bongo la nyau na muziki wake jambo ambalo lilimkera msanii huyo na kuamua kumtafuta wakagombana na leo wanakutana kwenye show moja.....