Home » News & Politics » Sumaye Afungukia Kurudi CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa

Sumaye Afungukia Kurudi CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa

Written By Global TV Online on Friday, Jan 05, 2018 | 01:43 PM

 
Sumaye Afumguka KurudSubscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Waziri mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amesema bado ana mapenzi na Chama Cha Mapinduzi –CCM lakini hafikirii na wala hana mpango wa kurejea katika chama hicho. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Global Tv, Sumaye amesema, ni kweli kuwa bado anakipenda chama cha Mapinduzi ila hana mpango wa kurejea CCM. Sumaye ambaye aliwahi kuwa kada wa CCM amesema kwa sasa haridhishwi na mwenendo wa siasa za Tanzania kwasababu zinaminya uhuru wa Demokrasia. Sumaye ambaye amehudumu katika nafasi ya uwaziri mkuu kwa kipindi kirefu Zaidi ya wote walioshika wadhifa huo amesema bado ana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wa CCM. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..i CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa