Home » News & Politics » Sugu akosa dhamana kuhofia usalama wake

Sugu akosa dhamana kuhofia usalama wake

Written By Millard Ayo on Wednesday, Jan 17, 2018 | 12:20 AM

 
Mchana wa January 16, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijini Mbeya imeamuru Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Emmanuel Masonga wapelekwe rumande mpaka January 19, 2018 kwa kesi ya uchochezi.