Home » News & Politics » KUPANDA, KUITUNZA MITI NI FAIDA KWA VIZAZI VIJAVYO

KUPANDA, KUITUNZA MITI NI FAIDA KWA VIZAZI VIJAVYO

Written By Mwananchi Digital on Sunday, Jan 28, 2018 | 06:08 AM

 
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amewataka vijana kujenga utamaduni wa kupenda wenzao na kufanya mambo ya kusaidia watu wengine akidai kitendo hicho kitawafanya waishi kwa furaha.