Home » Entertainment » JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record kwa kununua CD 25 Mlimani City

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record kwa kununua CD 25 Mlimani City

Written By Millard Ayo on Saturday, Jan 20, 2018 | 05:23 PM

 
January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo kwenye uzinduzi na kununua CD 25. Amezungumza kwenyeEXCLUSIVE INTERVIEW bonyeza PLAY kumtazama