Home » People & Blogs » Wanajeshi wa JWTZ Ndani ya DRC Congo Kulipa Kisasi

Wanajeshi wa JWTZ Ndani ya DRC Congo Kulipa Kisasi

Written By Mkongwe Tv on Sunday, Dec 17, 2017 | 12:59 PM

 
Jeshi la JWTZ likishirikiana na UN limeenda katika Misitu ya Goma Nchini DRC Congo kuwatafuta waasi waliowauwa wanajeshi wao 14 wiki iliyopita. Wameahidi kuwa Watanzania tegemeeni kufutwa machozi kabla ya Tarehe 25 December 2017.