Home » People & Blogs » Hatimaye Tundu Lissu aanza kutembea

Hatimaye Tundu Lissu aanza kutembea

Written By MwanaHALISI TV on Tuesday, Dec 26, 2017 | 06:08 PM

 
HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea vizuri na ameanza rasmi kufanya mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma mnamo Septemba 7, 2017. picha iliowekwa katika ukurasa wa Facebook wa CHADEMA kutoka Hospitali ya Nairobi imemuonesha Lissu akifanya mazoezi ya kusimama kwa msaada wa madaktari wa hospitali hiyo lakini pia ameandika ujumbe kwa watanzani. Usisahau kusubscribe ili kupata matukio kwa haraka na pia soma www.mwanahalisionline.com