Home » People & Blogs » Hatimaye BEN PAUL Avunja Ukimya Amtangaza Binti Che Kama Mke Mtarajiwa.

Hatimaye BEN PAUL Avunja Ukimya Amtangaza Binti Che Kama Mke Mtarajiwa.

Written By Global TV Online on Monday, Dec 18, 2017 | 02:46 AM

 
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Katika kipindi cha Beauty and Styles ni ,kipindi bora cha maswala ya urembo ndani ya Dage Saloon, Ben Paul alifunguka baada ya Kubananishwa vilivyo juu ya kuwa kimya hususani kwenye swala zima la mahusiano. Ingawa alifunguka juu ya mahusiano yake na Ebitoke pamoja na Tausi ambapo alisema kuwa hufa anafanya jambo kulingana na anavyojisikia tatizo linakuja kwa wale wanaolipokea jambo hilo na kulitafsiri tofauti, huku akitoa mfano kuwa mwanamke atakae muoa anaitwa E binti CHE. Hata hivyo mada tuliokuwa tunaijadili ni umuhimu wa mwanaume kufanya scrub ili kuwaongezea mvuto ,ingawa mwisho wa siku Ben Paul alimaliza kwa kusema kwa sasa hajafiilia harusi au kufunga ndoa, na kumalizia kwa kusema ameandaa wimbo mpya kama zawadi kwa kufungia mwaka na kukaribisha mwaka mpya kwa mashabiki zake. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..