Home » News & Politics » Wananchi Wahimizwa Kuwachangia Wenye Uhitaji Wa Miguu Bandia

Wananchi Wahimizwa Kuwachangia Wenye Uhitaji Wa Miguu Bandia

Written By SIMU. Tv on Friday, Nov 17, 2017 | 12:32 PM

 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wananchi pamoja na taasisi mbalimbali kuunga mkono kampeni ya kuwasaidia wananchi wenye ulemavu kwa kuchangia gharama za kuwatengenezea miguu bandia.