Home » News & Politics » Shirika la kutetea haki za Binadamu lazuiwa kutoa ripoti ya Watanzania

Shirika la kutetea haki za Binadamu lazuiwa kutoa ripoti ya Watanzania

Written By Millard Ayo on Tuesday, Nov 14, 2017 | 09:42 AM

 
Tume ya Taifa ya Sayansi (COSTECH) imelizuia Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kuzindua ripoti ya Watumishi wa ndani wa Kitanzania wanavyonyanyaswa nchini Oman na Falme za Kiarabu.