Home » News & Politics » Serikali Yaanza Kufanya Matengenezo Ya Meli

Serikali Yaanza Kufanya Matengenezo Ya Meli

Written By SIMU. Tv on Friday, Nov 17, 2017 | 10:58 AM

 
Serikali imeanza kufanya matengenezo ya meli zake tisa ambazo zimesitisha kutoa huduma ya usafirishaji katika ziwa Victoria ili kuboresha huduma za usafiriri katika ziwa hilo.