Home » News & Politics » HEKAHEKA: Mchungaji auliwa na mgonjwa mwenye mapepo

HEKAHEKA: Mchungaji auliwa na mgonjwa mwenye mapepo

Written By Millard Ayo on Tuesday, Nov 28, 2017 | 06:43 AM

 
Hekaheka ya leo Nov 28, 2017 imetokea Morogoro ambapo kuna Mchungaji aliyekuwa anamfanyia maombi muumini wake aliekua na mapepo lakini cha kustaajabisha nguvu ya mapepo yale ikampiga na kumuua Mchungaji huyo.