Home » Sports » AZAM TWO - FULL PRESS: Magufuli na Museveni walivyojibu maswali ya waandishi wa habari

AZAM TWO - FULL PRESS: Magufuli na Museveni walivyojibu maswali ya waandishi wa habari

Written By Azam TV on Friday, Nov 10, 2017 | 09:38 AM

 
Rais Magufuli wa Tanzania na Rais Museveni wa Uganda leo wamekutana na wanahabari nchini Uganda, na kujibu maswali kuelekea uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga, Tanzania.