Home » Sports » Azam TV - Katibu Mkuu wa Chadema Dkt Vincent Mashinji azungumzia Patrobas Katambi kujiunga CCM

Azam TV - Katibu Mkuu wa Chadema Dkt Vincent Mashinji azungumzia Patrobas Katambi kujiunga CCM

Written By Azam TV on Tuesday, Nov 21, 2017 | 02:16 PM

 
Kwamujibu wa Dkt Mashinji, Katambi aliaga viongozi wa Chadema kuwa anaenda kumtizama mama yake ambaye ni mgonjwa...mara wakashangaa kumuona Ikulu akiwakacha na kujiunga na CCM.