Home » Entertainment » Twaweza "Wananchi 67% wanataka katiba Mpya

Twaweza "Wananchi 67% wanataka katiba Mpya

Written By Spin Tanzania on Thursday, Oct 19, 2017 | 01:41 PM

 
Taasisi ya TWAWEZA hii leo Oktoba 19, wametoa matokeo ya utafiti wa maoni ya watanzania ambapo takwimu zinasema 67% wanataka katiba mpya na 56% rasimu ya katiba ipigiwe kura na wananchi huku 48% wanasema katiba mpya haitapatikana kwa kipindi cha miaka 3 ijayo