Home » News & Politics » Mwigizaji Rammy Galis kafungua Mgahawa wake DSM

Mwigizaji Rammy Galis kafungua Mgahawa wake DSM

Written By Millard Ayo on Monday, Oct 30, 2017 | 10:00 AM

 
Ni Headlines za staa kutoka Bongo Movie, Ramy ambae time hii amekuja na habari njema ya kufungua mgahawa wake mpya ambao unapatikana Mikocheni Dar es Salaam