Home » Entertainment » KUACHANA: Diamond na Zari wamefikia hapa

KUACHANA: Diamond na Zari wamefikia hapa

Written By Millard Ayo on Wednesday, Oct 04, 2017 | 02:42 PM

 
Ishu ya Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa Mobetto inawezekana imeyumbisha penzi la Diamond na mama watoto wake Zari licha ya Diamond kuomba radhi. inaonekana Zari kama bado amekasirika na hata hatujaona akimpost Diamond kwenye siku yake ya kuzaliwa kama ambavyo imekua kawaida yake, mwaka huu amekaa kimya bila kupost chochote.